Picha,Shilole afanya collabo na Selebobo wa Nigeria

sele
Mwimbaji wa bongo fleva Shilole aka Shishi amefanikiwa kufanya collabo na msanii/producer kutoka Nigeria Selebobo. Shilole alikuwepo Nigeria na wasanii Feza Kessy na Lina kwaajili ya show ya Sound City.
 shilole 1 shilole 2 shilole 3

Comments