Hii ilikuwa Talk Of The Town wakati wa kombe la dunia pale Rapper Roma alipoandika kwenye Instagram yake kuwa atahamia Sharobaro Records na atafanya kazi na Bob Junior. Na kweli siku ho Brazil walifungwa na Ujerumani bao saba kwa moja.
Taarifa mpya ni kwamba Roma amesharekodi wimbo na Bob Junior unaitwa Maumivu kwenye studio za Sharobaro na wimbo huu unatokia wiki ijayo.
Hizi picha za Roma na Bob Junior walivyokuwa studio .
Taarifa mpya ni kwamba Roma amesharekodi wimbo na Bob Junior unaitwa Maumivu kwenye studio za Sharobaro na wimbo huu unatokia wiki ijayo.
Hizi picha za Roma na Bob Junior walivyokuwa studio .
Comments
Post a Comment