Matatizo yanayoendelea CHADEMA yasababisha wasanii Hawa kujiunga na CCM Leo


Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kupata wanachama wapya ambao ni wasanii wa tasnia mbalimbali, miongoni mwao ni Uwoya, Johari, Banana, JB na Mrisho Mpoto.

Chanzo: Jamii FORUMS

Comments