Mbunge wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza kwa wingi kumpokea Mbunge wao.
Zitto Kabwe akiwa katika gari la wazi mara baada ya kutua kigoma asubuhii ambapo amepata mapokezi ya kishindo wafuasi wa Zitto kabwe wakiwa katika maandamano..
Kwa hiyo what next..?
ReplyDelete