Skip to main content
HOT NEW SONG/Squeezer ft. Belle 9– Mtemi Pesa
Baada
ya kuwa kimya kidogo kwenye game, sasa msanii maarufu kama Squizer
ameamua kurudi tena kwenye game kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda
kwa jina la Mtemi Pesa, ambapo ndani ya ngoma hii squizer amemshirikisha
msanii kutoka Moro maarufu kama Belle 9.
Comments
Post a Comment