Master Jay Kasikiliza Mixtape Ya Nikki Mbishi.



Fid q alishawahi kumwambia sammsago kuwa kwenye wimbo moja wa Nikki Mbishi unaweza kupata nyimbo kumi za rap hapa bongo, Ni msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuandika na kufanya good hiphop. Mixtape yake mpya imetoka na tayari produce mkubwa Tanzania ameisikiliza na kutoa comment yake. "Loving this kids talent"

Comments