Posted by
Bachema
on
- Get link
- X
- Other Apps
fleva,akiwa tayari ameshafanya
nyimbo kama,nyota ya mchezo,agano
jipya,na nyingine nyingi ambazo
zimemfanya awe juu kimuziki.
Suma ambaye kwasasa yupo katika
tour ya muziki wake maeneo ya kanda
ya ziwa,alifungukakupitia tizniz.com
na kusema.”wasaniiinabidi tujitoe
kama lady jay dee sio tunabaki
kunyanyasika na media moja bila sisi
ninahakika hawewezi,hivyo wajue
namuunga mkono jide kwa nguvu
zote,kama wasanii hawatajitoa
tutaendelea kunyanyasika tu,watu
wajifunze kwa Rama dee mbona
amechukua mpaka tuzo bila yao,so
inawezekana bila ya media moja
maana zipo nyingi sana.
Binafsi sina ninachohofia eti
nitabaniwa kwani hata wakibana
hawawezi kuzuia ndoto watanzania
wanataka muziki mzuri so nikiachia
truck kali lazima itaeleweka tu bila
wao.Harafu kama msanii huungi
mkono harakati piga kimya sio
unazinguazinguawewe kaa kimya
angalia mchezo uone watu
wanavyozidi kusonga bila radio
moja.lazima wajue watu tumechoka
kutumiwa vibaya.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment