Ndugu msomaji wa habari hii katika blog yako uipendayo ya Bachema.blogspot.com leo nimekuja na mada inayohusu maswala ya ndoa...kwa utafiti nilioufanya katika maswala ya ndoa nimegundua kwamba aslimia kubwa ya wanandoa wa kijijini huwa wanafikia hatua ya ndoa kabla ya kufanya mapenzi kutokana na itikadi na mira za makabila yao japo sio makabila yote..Lakini kwa mjini ni asilimia chache sana za wachumba ambao huwa wanafikia hatua ya ndoa bila kuonjeshana utamu uko vipi kwa kila mmoja wao yaani mwanamke na mwanaume..Hiyo ilikuwa utangulizi tu sasa twende kwenye stori yenyewe.Katika utafiti wangu nimegundua kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa inachangia katika kuvunjika kwa ndoa nyingi sana,
Pia kuna jirani yangu ambaye yamemkuta kabisa,,Yaani huyu jirani yangu hajawahi kufaidi mapenzi kwa mkewe na hata mke wake hajawahi kufaidi mapenzi kwa mmewe tangu waoane japo mpaka sasa wana watoto watatu..Jamaa ana uume mkubwa sana kuliko uke wa mke wake mpaka huwa wanafanya sex labda kwa mwaka mara moja tu au wasifanye kabisa kwa sababu kila akifanya naye mapenzi basi mtaa mzima watajua kwa kelele atakazopiga mwanamke kwa maumivu anayoyasikia laiti kama wangefanya kabla sidhani kama mwanamke angekubali kuolewa na huyo jamaa,jamaa naye angetafuta mwanamke anayeweza kuhimili mzigo wake kwasababu wanawake wanatofautiana vima vyao vya uke kwasababu mwanaume naye anaumia kwa kitendo hicho..Vilevile kufanya mapenzi kabla ya ndoa kunawafanya mujuane kama mnatoshelezana kimaumbile nk..Endelea kutembelea www.bachema.blogspot.com kwa habari za kutosha..

Comments
Post a Comment