Wakati Bunge la Tanzania likiendelea kufukuta kwa vurugu na kauli za matusi na dharau, Wabunge hawa Zitto Kabwe na Halima Mdee wamefunguka juu ya mambo yanayoendelea bungen kupitia mitandao ya kijamii na kudai kuwa na aibu isiyoelezeka.
Wanadai kuwa Bunge limekosa mwelekeo na kwamba kwa sasa hawaoni haja ya kuendelea kuitwa wabunge
(164)
Comments
Post a Comment