Biff linaloendelea kati ya Rapper Nikki Mbishi na Ney wamitego, linaelekea pabaya hali ambayo imefikia kutukanana kupitia katika status za huduma ya Blackberry (BBM), mida hii kupitia kupitia bbm ya Ney wa mitego ameandika status inayoonekana hapa chini Sababu hasa ya Ney kupandwa na hasira kiasi hiki bado hakijajulikana kwasababu nimejaribu kumtafuta na simu yake haipatikana. kitakachoendelea utakipata hapa as soon as info zikitufikia.
Comments
Post a Comment