Romy Jones, shemeji yetu Penny kwa Diamond na Ommy mwenyewe, Hii picha imepigwa na Diamond Platnums.
Kwenye Exclusive interview na AMPLIFAYA ya CLOUDS FM siku 14 zilizopita, Ommy Dimpoz alisema show za muziki anazokwenda kuzifanya U.K ndio zitamfanya achelewe kuanza kuifanyia kazi kolabo na Dj Cleo wa South Africa.
Dj Cleo amekiri kwamba yuko tayari kufanya kazi na Ommy Dimpoz, walishaongea lakini haikutokea ila hana tatizo kushirikiana na staa huyu wa ‘me and u’
Comments
Post a Comment