Baada ya
LEKA DUTIGITE, ngoma iliyofanya vizuri sana redioni na kwenye masikio ya wengi, kundi hilo limerudi tena, likifahamika kama
Kigoma All Stars wakiwa wamekuja na ujio mwingine mpya na track inaitwa
''Nyumbani''.
Unaweza kuisikiliza hapo chini pia unaweza Kudownload..
Comments
Post a Comment