Video Making Ya Me N' You Wa Ommy Dimpoz Na Vanessa Mdee...


     Check baadhi ya picha katika utengenezwaji wa video mpya itakayokuja ya Ommy Dimpoz featuring Vanessa Mdee...
Rain Dance?? Oh... Yeah... Ni ME N' YOU , wimbo ambao mimi na wewe hatuwezi bisha kuwa unafanya vizuri sana radioni... na video ndo inatengenezwa... tusubiri tuone kama video ya wimbo huu uliotokea kupendwa sana...

Comments