Mtangazaji wa kituo cha redio cha CloudsFM, akitangaza kipindi cha cha usiku cha Ala Za Roho, Diva Loveness Love hivi karibuni ataachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la ''Mgonjwa Kwa Raha Zako'' huku ndani yake akiwemo Kabyser a.k.a Mr. Blue [featuring].
Diva amesema haya kupitia moja ya mtandao wake wa kijamii na kuandika kuwa track hiyo itatoka mida ya saa Tisa Alasiri.
Comments
Post a Comment