Blogs mbalimbali. Mlikuwa mstari wa mbele kwakuandka habari na kupost hata baadh ya show zangu ambazo mmenipa heshma ya kufika mbali zaid na kusikika hata nje ya nch mchango wenu ni mkubwa japo siwez kuwataja wote. Pia Requester wa media cna cha kuwalipa nawashkuru sana sana na ntabaki kuwaheshmu kwani mmetoa mchango mkubwa sana kwa kuomba nymbo zangu media na zikachezwa Na amini ni mchango mkubwa sana ktk game hasa kwetu wasanii Ntabaki kuwaheshimu na kuwathamini siku zote. Bila kuwasahau wasanii wenzangu walikuwa nami bega kwa bega ktk kunishauli na kunisaidia kwa chochote.Pia ma dj wa club mbalimbali, mmekuwa chachu ya mzk wangu pale mlipoonesha ushirikiann wenu kwangu.
Pia Waandaaji wa (show) matamasha madogo na makubwa nawashukuru sana sana kwa kuniamini na kukubali kufanya kazi na mm Siwasahau maproducers wa video na Audio na studio mbalimbali kwa kunifanyia kaz za uhakika na jamii ikanikubali kwa kazi hzo. Wote kwa pamoja naamini sasa ni kama ndugu. Nawaomba muonyeshe tena moyo huwo na mwaka ujao na mingine kwani kaz nzur ni yenye kushirikiana. Msisite kama ntawakosea naomba msisite kunikanya na kunisamehe. Napenda wote na kuwajali. Nawatakia mwaka mpya. Ts me.
Dayna Nyange (mkali wao)
Comments
Post a Comment