Umeniteka himahima mzima mzima kama dame na rambo
Mimi kwako hali sina ujanja sina kama samaki na chambo
Penzi letu halina bima sina fitina kama mama wa kambo
We kipato cha karima usiuzi mtima kama chinga na mgambo
BRIDGE
Waringiiiiieeeee wewe tamba mpaka wakose raha
We na mieeeeee umenibamba ndo unaenipa rahaa < 2
CHORUS
Churuchuru chuchuuu I love u
Churuchuru chuchuuu I need u
We wangu kichuna ntakupeleka ka mama
We wangu kichuna ntakupeleka kwa baba
VERSE 2
Kama ngoma nishapima ukimwi sinasio jana kitambo
Umenipenda sina jina sina vuma mpaka sasa nina mambo
Usiwe kama mwajuma na fatuma mtego wao kitango
Barabara ya kajima inamilima sisi kwetu ni pambo
BRIDGE
Waringiiiiieeeee wewe tamba mpaka wakose raha
We na mieeeeee umenibamba ndo unaenipa rahaa < 2
CHORUS
Churuchuru chuchuuu I love u
Churuchuru chuchuuu I need u
We wangu kichuna ntakupeleka ka mama
We wangu kichuna ntakupeleka kwa baba
Comments
Post a Comment