KIGOMA ALLSTARS WAJA NA NYIMBO MPYA ALIKIBA NA MAUNDA ZORRO NDANI

Kwa habari zilizonifikia kutoka kwa moja ya wasanii wanaounda kundi hilo KIGOMA ALLSTARS wameshakamilisha nyimbo yao mpya pia na Video shooting,walioongezeka katika wimbo huo mpya ni ALIKIBA na Maunda Zorro japo wapo wasanii wengi wanaotokea pande za KIGOMA ambao wataongezeka kwenye nyimbo zitakazofuata baada ya hii..So mashabiki kaeni mkao wa kupata burudani na ngoma kali sana kuliko LEKA TUTIGITE ambao umeteka sana nyoyo za wapenzi wa mziki wa bogo fleva..

Comments