Kama wewe unapenda hiphop na unaifahamu utajua nini na namaanisha..sikiliza ngoma ya Chipmunk Champion kisha usikilize Sirudi tena ya Mabeste kuanzia beat mpaka swagga za uchanaji kacopy na kupaste kutoka kwa jamaa.HIZI HAPA ZIANGALIE KISHA UTOE JIBU. CHIPMUNK-CHAMPION NA HII YA MABESTE SIRUDI TENA
Comments
Post a Comment