Tuzo za Channel O mwaka 2012 zimetolewa jana huko Walter Sisulu Square mjini Kliptown, Soweto na kumshuhudia supastaa wa Nigeria D’Banj akiibuka na tuzo kubwa kuliko zote ya video bora ya mwaka na video bora ya msanii wa kiume kwa wimbo wake Oliver Twist.
Kwa hakika tuzo hizo zilitawaliwa zaidi na wasanii wa Nigeria na Afrika Kusini waliochukua vipengele vyote kasoro cha video bora ya Afrika Mashariki iliyoenda kwa AY na Sauti Sol pamoja na vipengele vingine viwili vilivyochukuliwa na Buffalo Souljah wa Zimbabwe na D-Black wa Ghana.
Pongezi nyingi ziende kwa Ambwene Yesaya aliyeitoa Tanzania kimasomaso kwa kuchukua tuzo moja.
Watu wengi wamejitokeza kumpongeza AY kwa tuzo hiyo;
Hemdee kiwanuka: Finally we grab 1 award winning @AyTanzania is among Champs Africa
Babu Sikare @AlbinoFulani: Gosh I hate you! Now I owe you to bottles of Absolute when I come back. 1st for your B’day, 2nd for #ChOAward #Proud
avril nyambura: SautiSol congratulations guys @AyTanzania really happy for you!!
Albert Mangwair: Big Up Yo Self Ambwene a.k.a Mapene@AyTanzania Tanzania and Africa is proud of You … Bless
Airtel Tanzania: Congratulations Mr. Ambassador @AyTanzania !!! You have made us and your country proud #TeamAirtel
Master J: Big up brother for bringing the award back home. Hard work, perseverance and patience pays, big up sana.
Lamyia Good: YESS!!!! We won!!! Congrats #teamnosleep !!! @RileyCEO @AyTanzania @hemdee31 ….WOW
Hii ni list nzima ya washindi wa CHOMVA 2012
Most Gifted Video of the Year: D’Banj – Oliver Twist
Most Gifted Female Video – Zahara – Loliwe
Most Gifted Male Video – D’Banj
Most Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
Most Gifted Afro Pop Video – Brymo – Ara
Most Gifted Duo, Group or Featuring Video – P Square ft. Akon and May D – Chop My Money
Most Gifted Dance Video – DJ Cleo – Facebook
Most Gifted Kwaito Video – Ees and Mandoza – Ayoba
Most Gifted R&B Video – Flavour ft Tiwa Savage – Oyi
Most Gifted Newcomer Video – Davido – Dami Duro
Most Gifted African South Video: Cashtime Fam – Shut It Down (Stundee).
Most Gifted African West Video: D-Black ft Mo’Cheddah – Falling
Most Gifted African East Video – Ay ft Saut Sol – I Don’t Want to be Alone
Most Gifted Ragga – Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa
Comments
Post a Comment