Kutoka kwenye albamu mpya kabisa ya dada Upendo Nkone iitwayo UNIONGOZE..Ni albam yenye nyimbo nzuri sana zenye upako wa Mungu.na hii ni moja kati ya nyimbo kumi na moja zilizopo kwenye albam hiyo.usikilize utakubariki sana na albam hii tayari iko madukani pata nakala yako sasa....
God be with u mai mumy Upendo 4ever.
ReplyDelete