DOKII aelezea kwanini aliamua kuandika wimbo wa OBAMA

Kwanini nimeandika huu wimbo kwa Rais Obama ni mtu ambae alietufanya tutambue kila kitu kinawezekana haijalishi where u came from if GUD say yes no ONE Say NO Namaanisha sio Rahisi a blak man kuwa Presdnt wa nchi kama ile pale yaani U.S.A babaake du! alafu anfanya vizuri kuliko tulivyofikiria na ndio maana Nimeamua kumtungia BONGE la SONGE kama nilivyofanya kwa PRESIDENT wetu wa UKWELI JAKAYA KIKWETE.
Kama una maoni au ushauri unaweza kuwasiliana na Dokii mwenyewe kupitia 
mail yake ya dokii2012@gmail.com au simu ya kiganjani +255 778 444262

Comments